emblem

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim

Habari

MAHAFALI YA 27 YA KITUO CHA UHUSIANO WA KIMATAIFA CHA DKT. SALIM AHMED SALIM KUFANYIKA TAREHE 13 DISEMBA 2024


Mahafali ya 27 ya Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim yatafanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam siku ya Ijumaa tarehe 13 Disemba 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi.  Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mazoezi (rehersals) kwa wahitimu yatafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam  siku ya Alhamis tarehe 12 Disemba 2024 kuanzia saa 8:00 mchana.