Ziara
NENO KWA WAFANYAKAZI
- Shukrani
- Namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa uhai, kunipenda na kunipendelea kwa mambo mengi sana.
- Naishukuru sana mamlaka iliyoniamini na kuniteua kukaimu nafasi ya ukurugenzi tarehe 28 Januari 2019.
- Shukrani kwa Wizara mama, Waziri, Katibu Mkuu, wakurugenzi, na wafanyakazi wote waliosapoti na kufanikisha utendaji wa majukumu ya chuo
- Shukrani kwa Baraza la Chuo lililomaliza muda wake chini ya uenyekiti wa Mhe. Balozi Sefue
- Shukrani kwa manaibu wakurugenzi wa Chuo cha Diplomasia