Habari
WAZIRI BALOZI KOMBO (MB) AMEZINDUA BARAZA LA UONGOZI WA KITUO CHA UHUSIANO WA KIMATAIFA CHA DKT. SALIM AHMED SALIM – CFR, DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amezindua Baraza la Uongozi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim. Hafla hii imefanyika katika ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam. Baraza la Uongozi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) linaundwa na Mwenyekiti ambae ni Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi na Wajumbe ni:-
i) Balozi Dkt. Ramadhan Dau
ii) Balozi Togolani Mavura
iii) Dkt. Lucy Shule
iv) Abdulrahim Kangezi
v) Assumpta Meena
vi) Chiku Kiguhe