Picha: Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Joseph Sokoine alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya 45 ya Biashara katika viwanja vya Sabasaba akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo cha Diplomasia.