Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maombi yote yanayohusiana na kujiunga na Kituo yanatakiwa yawasilishwe mara baada ya tangazo la kujiunga na Kituo linapokuwa limetolewa kwa umma. Mara nyingi Kituo kinakaribisha maombi kuanzia katikati ya mwezi Julai.
Aidha mwombaji atatakiwa kuwasilisha maombi yake kwa njia ya kujaza taarifa zake kwenye mfumo wa udahili. Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya barua ya kawaida hayatakubaliwa.
NI TATIZO LA MIUNDOMBINU LAKINI TAYARI ISHAKUWA SOLVED.