emblem

Chuo cha Diplomasia

Habari

UJUMBE KUTOKA CHUO CHA UNADHIMU UGANDA KUTEMBELEA KITUO CHA UHISIANO WA KIMATAIFA CHA DKT.SALIM AHMED SALIM.


Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt.Salim Ahmed Salim kimepokea ugeni kutoka Chuo cha Unadhimu na Ukamanda Kamata Uganda.Ugeni huo umeambatana na wenyeji wao kutoka Jeshi la  ulinzi  la wananchi wa Tanzania,Wakiwa katika ziara hiyo wamefanikiwa kupata mafunzo yaliyolenga mambo kadhaa juu ya sera ya mambo ya Nje na Diplomasia ya Uchumi.