emblem

Chuo cha Diplomasia

Habari

Ziara ya wanafunzi wa kozi ya Ukamanda na Unadhimu kutoka Chuo cha ulinzi wa Taifa kutoka Bangladesh wametembelea Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt.Salim Ahmed Salim.


Ziara ya Wanafunzi wa Kozi ya Ukamanda na Unadhimu kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa- Bangladesh  kutembelea Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim, Dar es Salaam imefanyika leo tarehe 6 Mei 2024 ambapo Mhadhara kuhusu "The Foreign Policy and Outlook and Bilateral Relations with Bangladesh" umetolewa.