Habari
CFR NA NCT WASAINI HATI YA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Dkt. Felix Wandwe, ndc (kulia) Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) amesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano na Dkt. Florian Mtey, mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), tukio lilifanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.