emblem

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim

Habari

CFR KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA DIPLOMASIA CHA KUWAIT “KDI” KATIKA KUTOA MAFUNZO NA MASUALA YA DIPLOMASIA


Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) na Chuo cha Diplomasia cha Kuwait (KDI) wametia saini Hati ya Makubaliano (MoU) ya kushirikiana katika utoaji wa mafunzo na masuala ya Diplomasia.

Makubaliano hayo limefanyika Kuwait kati ya Dkt. Felix wandwe, ndc Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha CFR na Mheshimiwa Balozi Al Nasser Al Sabah, Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia cha Kuwait.