emblem

Chuo cha Diplomasia

Habari

Mafunzo ya Muda Mfupi yanayohusu Uongozi wa Kidiplomasia na Uhusiano wa Kimataifa


Chuo cha Diplomasia (CFR) Kimefanya Mafunzo ya muda mfupi,yanayohusiana na Uongozi wa Kidiplomasia na Uhusiano wa kimataifa.

Mafunzo hayo yamelenga kuwapatia ufahamu washiriki wa mafunzo hayo ,kuhusiana na maswala ya Uongozi na Uhusiano wa Kimataifa.

"Mafunzo haya ni Muhimu saana kwangu,yamenisaidia kufahamu kuhusu maana ya uhusiano wa kimataifa na kujua mikakati ya namna ya kuwa kiongozi mzuri ,Tunashukuru saana Uongozi wa Chuo cha Diplomasia(CFR) Kwa fursa ya mafunzo haya’’  Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo alieleza  ,  Mr Theophil  wabukundi.