Habari
ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI KATIKA KITUO CHA UHUSIANO WA KIMATAIFA CHA DKT.SALIMU AHMED SALIM

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.January Makamba (Mb) (kulia) akizungumza wakati wa kikao na waheshimiwa wabunge wa kamati ya kudumu ya Mambo Nje ,Ulinzi na Usalama (hawapo pichani),Mhe. Vita Kawawa (Mb) (aliyekaa katikati)Mwenyekiti wa kamati na Mhe.Vicent Mbogo (Mb) Makamu mwenyekiti wa kamati Walipokuwa kwenye ziara ya kutembelea mradi wa vyumba vya mihadhara leo katika Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt.Salim Ahmed Salimu.