emblem

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim

Habari

BALOZI KILIMA KUTOA MHADHARA WA KIBALOZI KUHUSU SIASA ZA KIMATAIFA -CFR


Balozi Abdallah A. Kilima, Mkurugenzi wa Idara ya Nchi za Mashariki ya Kati , Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anatarajia kutoa Mhadhara wa Kibalozi kuhusu Siasa za Kimataifa "geopolitics / International Politics" kwa Wanajumuiya, Wanataaluma na Wanafunzi wa kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR), siku ya Jumatano tarehe 4 Juni 2025 kuanzia saa 8:00 mchana.