Habari
WANAFUNZI WA KOZI YA UKAMANDA NA UNADHIMU KUTOKA BURUNDI WAMETEMBELEA KITUO CHA UHUSIANO WA KIMATAIFA CHA DKR.SALIM AHMED SALIM

Wanafunzi kutoka wanaosoma kozi ya Ukamanda na Unadhimu kutoka Nchini Burundi leo wamefanya ziara katika Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt.Salim Ahmed Salim na kujifunza mambo mbalimbali kuhusiana na Diplomasia pamoja na kupata Mafunzo ya umuhimu wa Utengamano wa Kiuchumi wa kikanda katika masuala Kiusalama katika dunia ya sasa.
Mafunzo hayo yametolewa na Mkuu wa Idara ya Machapisho ,utafiti na kozi fupi ndugu Janeth Maleo.