Habari
MAFUNZO KWA WATUMISHI WA CRDB

Wafanyakazi wa benki ya CRDB wameshiriki katika Mafunzo ya Itifaki, Ustaarabu na Huduma za benki kwa diaspora "Protocal,Etiquette and Diaspora Banking" yaliyofanyika katika Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim ,Mkufunzi wa mafunzo hayo ni Mhe. Balozi Peter Kalaghe.