emblem

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim

Habari

ZIARA YA BALOZI WA COMORO NCHINI TANZANIA MHE.BACAR SALIM KATIKA KITUO CHA UHUSIANO WA KIMATAIFA CHA DKT.SALIM AHMED SALIM


Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe.Bacar Salim ameongoza ujumbe kutoka nchi hiyo kutembelea Kituoa cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt.Salim Ahmed Salim jijini Dar es salaam.Akiwa kituoni Mhe.Balozi Salim na Ujumbe wake alikutana kufanya mazungumzo na Dkt.Jaob Nduye,Kaimu Mkurugenzi wa Kituo hicho.Balozi Salim alieleza  kuwa ujumbe wake umefikakituoni hapo kwa lengo la kujifunza na kuangalia fursa mbalimbali katika masuala ya kitaaluma baina ya Tanzania na Comoro.