Habari
ZALONGWA TECHNOLOGIES ILITEMBELEA CFR KWA UHAKIKI WA MIFUMO YA SARIS NA OAS PAMOJA NA KUSIKILIZA MAONI YA MTUMIAJI.

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt.Salim Ahmed Salim kimetembelewa na Ugeni kutoka Zalongwa Technologies,ili kusikiliza changamoto mbalimbali katika Mifumo ya SARIS na OAS .