Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
Matangazo

MAFUNZO YA MUDA MUFUPI KUHUSU UONGOZI NA MAJADILIANO

11 Sep, 2026

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) kinakukaribisha kujiunga na kujisajili katika kozi ya Uongozi na Majadiliano "Leadership and Negotiation Skills" yatakayofanyika kuanzia tarehe 28 Septemba hadi tarehe 2 Oktoba 2026. mahali ni CFR, Kurasini- Dar es Salaam.