Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
Usajili wa Wahitimu
Usajili wa Wahitimu
Tunawathamini wahitimu wetu kama mabalozi wa Taasisi. Jisajili nasi ili kuendelea kuwa karibu na Taasisi, kupokea taarifa mbalimbali, na kushiriki katika shughuli za wahitimu.