Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
Kanusho

Kanusho

Baadhi ya huduma zetu tunazitoa kupitia kumbi mbalimbali zinazomilikiwa na umma na watu binafsi, maeneo hayo hatuna udhibiti wake wa moja kwa moja. Kituo hakitahusika na kuhakikisha ubora wa huduma zinazotolewa katika maeneo hayo wala hakitahusika na kuhakikisha huduma ulizolipia kuwa zitakuwa kamilifu/zinafanyakazi na kupatikana  kwa asilimia 100 na hakiwajibiki kwa hasara yoyote itakayotokea pindi mfumo utakaposhindwa kufanya kazi.