Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
Mafunzo ya muda mrefu
Stashahada ya juu na Shahada ya kwanza ya Uhusiano wa Kimataifa
Muda: Miaka mitatu (3)
Njia: Siku nzima
Malipo: TZS 1,660,000
Omba Sasa Tazama
Stashahada ya juu na Shahada ya kwanza ya Utawala na Uongozi wa Kimkakati
Muda: Miaka 3
Njia: Siku nzima
Malipo: TZS 1,660,0000
Omba Sasa Tazama
Diploma ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia
Muda: Miaka miwili
Njia: Siku nzima
Malipo: TZS 1,215,000
Omba Sasa Tazama
Stashahada ya Uzamili ya Uongozi wa Kimataifa
Muda: Miezi Tisa (9)
Njia: Muda wa jioni
Malipo: TZS 2,530,000
Omba Sasa Tazama
Stashahada ya Uzamili ya Diplomasia ya Uchumi
Muda: Miezi (9)
Njia: Muda wa jioni
Malipo: TZS 2,530,000
Omba Sasa Tazama
Stashahada ya Uzamili ya Amani na Menejimenti ya Migogoro
Muda: Miezi 9
Njia: Muda wa jioni
Malipo: TZS 2,530,000
Omba Sasa Tazama
Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Kimkakati
Muda: Miezi 18
Njia: Muda wa jioni
Malipo: TZS 6,000,000
Omba Sasa Tazama