Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
Kozi Zinazotolewa

Stashahada ya juu na Shahada ya kwanza ya Uhusiano wa Kimataifa

Mafunzo ya muda mrefu - Siku nzima (Miaka mitatu (3))

Stashahada ya juu na Shahada ya kwanza ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia
Maelezo ya Programu
  • Muda Miaka mitatu (3)
  • Malipo 1,660,000 TZS
  • Aina ya Kozi Mafunzo ya muda mrefu
  • Namna ya Masomo Siku nzima
Omba Sasa