Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
Kozi Zinazotolewa

Stashahada ya Uzamili Menejimenti ya Uhusiano wa Kimataifa

Mafunzo ya muda mrefu - Muda wa jioni (Miezi Tisa (9))

Stashahada ya Uzamili Menejimenti ya Uhusiano wa Kimataifa
Maelezo ya Programu
  • Muda Miezi Tisa (9)
  • Malipo 2,530,000 TZS
  • Aina ya Kozi Mafunzo ya muda mrefu
  • Namna ya Masomo Muda wa jioni
Omba Sasa