Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
Kozi Zinazotolewa

Stashahada ya juu na Shahada ya kwanza ya Utawala na Uongozi wa Kimkakati

Mafunzo ya muda mrefu - Siku nzima (Miaka 3)

Stashahada ya juu na Shahada ya kwanza ya Utawala Bora na Uongozi wa Kimkakati
Maelezo ya Programu
  • Muda Miaka 3
  • Malipo 1,660,0000 TZS
  • Aina ya Kozi Mafunzo ya muda mrefu
  • Namna ya Masomo Siku nzima
Omba Sasa