Kozi Zinazotolewa
Uongozi wa Kimkakati na Utawala
Kozi za Muda Mfupi - Siku nzima (Siku 5)
Walengwa ni Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi- Siku 5 kuanzia tarehe 4-8 Mei 2026
Maelezo ya Programu
- Muda Siku 5
- Malipo 650,000/- TZS
- Aina ya Kozi Kozi za Muda Mfupi
- Namna ya Masomo Siku nzima