Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
Kozi Zinazotolewa

Stashahada ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia

Mafunzo ya muda mrefu - Muda wote (Miaka miwili)

NTL Level 5 na 6
Maelezo ya Programu
  • Muda Miaka miwili
  • Malipo 1,215,000 TZS
  • Aina ya Kozi Mafunzo ya muda mrefu
  • Namna ya Masomo Muda wote
Omba Sasa