Mafunzo maalum ya Diplomasia na Maadili ya Kazi (Diplomacy and Professional Etiquette) yameanza rasmi kwa Maafisa wa Uhamiaji wanaojiandaa kuiwakilisha Tanzania katika Balozi mbalimbali duniani.
Mafunzo haya ni hatua muhimu katika kuwaandaa wawakilishi wa Tanzania nje ya nchi ili watekeleze majukumu yao kwa ustadi, nidhamu, na haiba inayostahili .

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) kimeandaa Konga...
DAR ES SALAAM: Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Sa...
Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim ( CFR), kimetoa wito...
Mafunzo ya muda mfupi kuhusu Itifaki za Mashirika na Uhusiano wa Serikali (Corpo...
Balozi wa Jamhuri ya Cuba nchini Tanzania, Mheshimiwa Yordenis Despaigne Vera, l...