Watumishi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) wameendelea kutoa elimu kwa wadau mbalimbali waliotembelea banda la Kituo, miongoni mwa masuala yaliyotolewa ufafanuzi ni pamoja na fursa mbalimbali za masomo zinazotolewa katika nyanja ya diplomasia na uhusiano wa kimataifa. Kituo kinashiriki katika Maonesho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayofanyika katika viwanja vya Sekondari ya Usagara Jijini Tanga na yatahitimishwa August 24, 2026.
TANGA: TANZANIA imeeleza kuwa inaendelea kutumia Diplomasia ya Uchumi kufungua f...
Mheshimiwa Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed, Balozi wa Comoro nchini Tanzania, le...
Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim ( CFR), kimetoa wito...
Mafunzo ya muda mfupi kuhusu Itifaki za Mashirika na Uhusiano wa Serikali (Corpo...
Balozi wa Jamhuri ya Cuba nchini Tanzania, Mheshimiwa Yordenis Despaigne Vera, l...